Mungu ni Kimbilio Lyrics
Mungu ni kimbilio
Mungu ni tegemeo wakati wowote
Wakati wowote
Yeye ni ngome yangu maishani mwangu
Yeye ni uzima wangu wakati nachoka
Wakati nalia, wakati nacheka
Yeye ni nguzo, yeye ni mwamba
Imara imara
Yeye ni simba wa Yuda
Yeye ni simba wa Yuda
Wamkimbiliao watapata baraka
Watapata uzima wa milele
Kimbilio langu ni Yesu
Msaada wangu ni Yahweh
Kimbilio langu ni Yesu
Msaada wangu ni Yahweh
Kimbilio langu ni Yesu
Msaada wangu ni Yahweh
Kimbilio langu ni Yesu
Msaada wangu ni Yahweh
Nani kama wewe, nani kama wewe
Hakuna mwingine kama wewe, umetambulika aah
Hakuna mwingine kama wewe, umetambulika aah
Mwenye kuponya magonjwa yote haya, umetambulika aah
Mwenye kuokoa dunia nzima, umetambulika aah
Baba umetambulika aah, umetambulika aah
Yesu umetambulika ah, umetambulika aah
Wewe umetambulika, umetambulika aah
Nasema umetambulika, umetambulika aah
Umetambulika aah
Kimbilio langu ni Yesu
Msaada wangu ni Yahweh
Kimbilio langu ni Yesu
Msaada wangu ni Yahweh
Kimbilio langu ni Yesu
Msaada wangu ni Yahweh
Kimbilio langu ni Yesu
Msaada wangu ni Yahweh
Kimbilio kimbilio, kimbilio langu ni Yesu
Kimbilio kimbilio, kimbilio langu ni Yesu
Kimbilio kimbilio, kimbilio langu ni Yesu
Kimbilio kimbilio, kimbilio langu ni Yesu
Wewe ni mwema Adonai, wewe ni mwema
Wewe ni mwema Elohim, wewe ni mwema
Wewe ni mwema Adonai, wewe ni mwema
Wewe ni mwema Elohim, wewe ni mwema
Wewe ni mwema, mwema mwema mwema
Umenivusha katikati ya simba baba
Wewe ni mwema aah
Umenitoa katikati ya maji baba
Wewe ni mwema aah
Imba wewe ni mwema, mwema mwema mwema
Wewe ni mwema aah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mungu ni KImbilio (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE