Anatenda Lyrics

Najua Ni muda kabla utabasamu
Huoni matunda ya kazi yako ngumu
Kila Siku magoti kwa madhabao
Ila jibu no mbingu imenyamaza kimya
Karo ya shule na Kodi washindwa
Utaitoa wapi
Tena maswali Ni Mengi Ni jibu tu
Umekosa
Ona Yesu anabisha anasema shida
Zimekwisha
Roho yako atuisha
Mfungulie
Kama alitenda Yesterday atatenda leo
Hajabadilika Kamwe Kama alitenda Yesterday
Atatenda leo
Hajabadilika Kamwe
Anakuona Sanar vile umekazana
Ila bila mafanikio anaona tu
Hakuna Mbaya anasema Ila
Hauko pekee yako tu
Mungu Si Binadamu avunje agano lake
Anangoja Imani yako atimize agizo lake
Lipi gumu kwake Hakuna lisilomshinda
Fedha Ni zake Deni atakulipia
Ona Yesu anabisha anasema shida
Zimekwisha
Roho yako atuisha mfungulie
Kama alitenda Yesterday atatenda leo
Habadiliki Kamwe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Atatenda
Copyright : ©2020
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE