Jina Lako Lyrics
M town Music
Jina, Yesu jina lako lagusa moyo
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
Jina lako Yesu, Baba jina lako lagusa moyo wangu
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
Nimeona jina lako likitenda makuu
Baba jina lako tu
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
Sitaogopa milima, sitaogopa giza
Nikiwa na jina la Yesu
Niko sawa sawa
Sitaogopa milima, sitaogopa giza
Nikiwa na jina la Yesu
Niko sawa sawa
Mgonjwa usihufu
Uliyefungwa usihofu
Kuna uponyaji unashukwa
Kwa jina la Yesu
Jina, Yesu jina lako lagusa moyo
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
Jina lako Yesu, Baba jina lako lagusa moyo wangu
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
Nimeona jina lako likitenda makuu
Baba jina lako tu
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
Heri niitanishwa na jina lako milele
Heri niunganishwe na jina lako milele Yesu
Jina lako ni taa ya miguu yangu
Jina lako uzima mifupani mwangu
Hakuna aliyeita jina lako akabaki alivyo
Oooh jina lako ni power, power power
Jina lako ni ngao, jina lako uzima aah
Jina lako ni power, power power
Jina lako ni ngao maishani mwangu Yesu wee
Jina lako uzima mifupani mwangu wee eeh
Jina lako ni power, power power
Jina lako ni power, power power
Jina, Yesu jina lako lagusa moyo
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
Jina lako ni tamu sana Baba, lagusa moyo wangu we
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
Limeshinda majina yote duniani Baba
Jina lako, jina lako
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
Jina, Yesu jina lako lagusa moyo
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
Jina, lako Yesu, Baba jina lako lagusa moyo
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
Nimeona jina lako likitenda makuu
Baba jina lako tu
Jina, Yesu jina lako laponya magonjwa
(Producer Paulo)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Jina Lako (Single)
Copyright : (c) 2019 M-Town Music
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE