Kubali Chako Lyrics
Baba naomba Kibali chako
Kibali chako
Kibali chako
Yesu naomba ushirika wako
Ushirika wako
Ushirika wako
Messiah naomba Kibali zako
Kibali chako
Ohh Kibali chako
Kibali chako
Kwa uimbaji wangu
Kibali chako
Kibali chako
Kwa huduma yangu
Kibali chako
Nishikilile nisianguke baba
Natamani nikae na Wewe
Maishani ehh
Ninapoimba uwepo wako
Ushuke baba
Nisiwe na kiburi ndani yangu
Nitumie baba
Kama dhabihu iliyo safi
Mbele zako nitumie yesu ehh
Naona mbingu zikifunguka
Katika kuabudu
Naona Sifa zikitanda dunia yote
Najitoa Kama dhabihu
Nitumie baba
Wewe ni mwema sana
Umetukuka
Hakuna Kama Wewe
Wewe ni mwema Sana
Umetukuka
Hakuna Kama Wewe
Naona mbingu zikifunguka
Katika kuabudu
Naona Sifa zikitanda dunia yote
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2014
Album : Kibali Chako (Single)
Copyright : ©2014
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE