Home Search Countries Albums

Hiyo One

FEMI ONE

Hiyo One Lyrics


 

 

Femi, Femi, Femi One
Uno, Uno, Uno, Uno

Hakuna mkate ngumu mbele ya chai
Akili ni nywele zangu nilipaka dye
More wananidai, Femi super duper fly
Game iko A, X anaregret why

Z me nakafunga ka ni look me nakadunga
Mistari zimeshiba sembe zimemada unga
Flow kachumbari, nawachanganya na lugha
Yaani Femi Walibora misamiati me natunga

Zinakam through sana ki- Wallah bin Wallah
Blue ticks kibao ka si pesa au biashara
Wanachuna me na gwara, me ni chui we ni swara
lale flani mjanja wakusakanya ma gwala

Mandume wanagwaya na mafire ni za kike
Roho zinadunda ka Chidnma na Kidike
Fresh kama Tropikal, fresh verses PK
I am so sick, sick Hopekid, DK

Hakuna cha cookie, am the queen Kaka Empire
Femi addi teacher basi sikiza I should mentor ya'
One gyal msupa kuja na your entire
Right, left, upper cut mpaka muite Messiah

Si hivyo ndo inafaa, ni hivyo ndo inafaa
Chozi, damu, jasho zote zimejaa kwa kitambaa
Tumetoka mbali cheki vile tumefika far
Nayo nayo, bado no time nilivunja saa

Chora saba me nasaka six figures
Mbogi ya mafans, kwa mambleina mid finger
Na wanaboo, si wananiboo shado mado 
Na bado hawana madoh wanaringa

Eti nimelost basi stima zimerudi
Femi mbona hurogi? basi mchawi amerudi
Namba bado ni one, nobody is badder dan
Hata nitupwe kwa den I will never be Dan

And you are now rocking with the best
Achana na wa Jam bado me nakam na zest
Na bars ni high caliber ata mkidunga vest
Am in a class of my own, so msitry kunitest

Si me ndo yule ngori, Femi first goddy
Femi first Hollywood,Femi never Nolly
Na kakiwaka sana, me nawaacha si ngori
If I was you singekuwa happy, ningeworry

Ligi ni flani premier, wakisleki me natinga ah
Kaa rada niko kadi me nawinda yeah
Usibishane na simba kwa jungle
Femi, sema hiyo one kaeni kando

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Hiyo One (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

FEMI ONE

Kenya

Shiko Femi One real name Wanjiku Kimani (born 25th April, 1994) is a performing and r ...

YOU MAY ALSO LIKE