Home Search Countries Albums

Baddest

FEMI ONE

Baddest Lyrics


(Riccobeats Mr 808)

Femi One sema hiyo one
Uno Femi never dose stress
Kama mnasaka queen basi buda don't stress
Ufala ndo siskii yani buda mi ndio mos def
Yeah uliza UNEP nani huleta more mess

Yes yes yes, journey design ya mnoma
Look at how am looking
So wavy wanaskia wivu
Hamna ladha mi am cookie

Eeey si ni working wanadoz
Mi nainvest we unafloss
You will be at loss, mimi am boss
Mimi ni stew mi bado sauce

Mi bado yule Femi wenu baddest
Uno bado si ni ile ile
Shiko yaani bado fire
Morale bado si ni pili pili

Yule Femi wenu baddest
Uno bado si ni ile ile
Shiko yaani bado fire
Morale bado si ni pili pili

Inawawasha, wacha, nare bado mi nawasha
Ka ni mimi ningetoka teke ju kuna vile katachacha
Wana swali mi ndio answer, paka poa mi ndio answer
Oya bow down nikikam through sema Igwe mi ndio master

Said I go the fire but am only getting started
Class yangu noma you can never ever study it
Cheki mi niko mbali bado uko palepale
Niko na shilingi ngiri milli beiby I be getting money

Wanajichocha na wanasota
Mi niko jiji na wako ocha
Manyoka quarter wana vioja
Mi nawakatakata nawa tourture

Mi nawafanya fanya kama Nyayo
Na ka ni mbogi mi ninayo 
So tunastrike kama Adebayor
Kama ni vita basi nayo nayo

Holup wait, lemmi get this straight
Femi very sexy tell your man to concentrate
Baby too legit what I do is never fake
All I do is food anad work everyday is major bake

Basi turudi kwa lugha huu mwaka katanuka
Huu mwaka nina marry game ka ni pingu basi nitafunga
Uno hapana numbee 2, ka mnakam tupatane juu
Ka mko chini nitakufia juu, na ka wako fly nakam na doom

Mi bado yule Femi wenu baddest
Uno bado si ni ile ile
Shiko yaani bado fire
Morale bado si ni pili pili

Yule Femi wenu baddest
Uno bado si ni ile ile
Shiko yaani bado fire
Morale bado si ni pili pili

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Baddest (Single)


Copyright : (c) 2020 Kaka Empire.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

FEMI ONE

Kenya

Shiko Femi One real name Wanjiku Kimani (born 25th April, 1994) is a performing and r ...

YOU MAY ALSO LIKE