Home Search Countries Albums

Kamasutra

SAUTI SOL Feat. VANESSA MDEE

Kamasutra Lyrics


Oooh
Leo kama Kamasutra mama (Kamasutra)
Kama kama Kamasutra mama (yeah yeah yeah yeah)
Kama kama Kamasutra baba (Kamasutra)
Kama Kamasutra baba yeah yeah yeah... (Kamasutra)

Ntakupa kazi upande mlima baby yeah
Na siri zangu zote ntatoboa yeah...
So many things I want to do to you my baby yeah
Na siri zako mi sitatoboa

Huh
Selector, I got something to make you better
Light the fire me napepeta
Light the fire me napepeta

Selector I got someething to make you better
Light the fire me napepeta
Light the fire me napepeta

Leo kama Kamasutra mama... (Kamasutra)
Kama kama Kamasutra beiby (yeah yeah yeah yeah)
Kama kama Kamasutra baba eeh (Kamasutra)
Kama Kamasutra baba yeah yeah yeah... (Kamasutra)

Chali wa Nairobi
Manzi wa Kipare
Leo ni mahaba nakupatia

Ushawasha nare
Hanjam kare
Leo michuano kiroja mila

Na si malimali (aah)
Hii vibe kali (aah)
Cash madame nakubalika

Mboga juu ya meza
Teleza ki murenda
Washa wood-i na kadhalika

Oooh Venessa
I got something to make you wetter
Baby let me kiss you better
Light the fire mi napepeta

Selector I got something to make you rise up
Lemmi back it up on you
Light the fire mi napepeta

Leo kama Kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (Kamasutra)
Kama kama Kamasutra (Kamasutra)
Kamasutra (Kamasutra)

Mapenzi ya kihuni yanimaliza
Kiuno kama nyingu baby punguza
Nishakubali wanafunzi
Wewe Professor wa Kamasutra

Mapenzi ya kihuni nimepachika (pachika)
Kiuno kama Nicky beiby tulia(tulia)
Kubali wanafunzi mimi ni Professor(professor)
(Kamasutra)

Mizani kama mimi naondoka nawee
Napiga mahesabu naondoka nawee
Na mimi nimekubali
Kuondoka na wewe, na wewe (Kamasutra)

Mizani kama mimi naondoka nawee
Napiga mahesabu naondoka nawee
Na mimi nimekubali kuondoka na wewe
Na wewe, baba nielewe

Leo kama Kamasutra(Kamasutra)
Kamasutra(Kamasutra)
Na kama kama Kamasutra (Kamasutra aah aaah...)
Kamasutra.

 

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Afrikan Sauce (Album)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SAUTI SOL

Kenya

Sauti Sol is a Kenyan afro-pop band formed in Nairobi by vocalists Bien-Aimé Baraza, Willis C ...

YOU MAY ALSO LIKE