Tujenge Taifa Lyrics

Black market records
Hmmm hmmm
Pomoja tungane tujenge taifa
Pomoja tungane tujenge taifa
Pomoja tungane tujenge taifa
Pomoja tungane tujenge taifa
Vile ghetto kuna chanllange
Misiaminwi na wale
Naapa nikicheza
Napelekwa mathare
Nakumbuka ya kaleh
Nikitukanwa na wale
Kijana ya sigoi
Sasa ana heshima zake
Nikipata nikose
Ntashukuru mungu kwa yote
Na in case niomoke
Nashukuru mungu kwa yote
I don’t know whose better leader
Ni mungu tu ndo alijuwa
I couldn’t tell who is a leader
Ni mungu tu ndo alijuwa
I don’t know whose better leader
Ni mungu tu ndo alijuwa
I couldn’t tell who is a leader
Ni mungu tu ndo alijuwa
Pomoja tungane tujenge taifa
Pomoja tungane tujenge taifa
Pomoja tungane tujenge taifa
Pomoja tungane tujenge taifa
Spread your wings
Nothing is impossible believe
If I can do it then you can believe yeah
If we unite we still gonna believe
Yeah aah believe
Amini wewe
Hakuna kiitu ngumu na mimi yeah
Haki iwe ngawo na ulinzi yeah
Tukiungana wewe na mimi hey
I don’t know whose better leader
Ni mungu tu ndo alijuwa
I couldn’t tell who is a leader
Ni mungu tu ndo alijuwa
I don’t know whose better leader
Ni mungu tu ndo alijuwa
I couldn’t tell who is a leader
Ni mungu tu ndo alijuwa
Pomoja tungane tujenge taifa
Pomoja tungane tujenge taifa
Pomoja tungane tujenge taifa
Pomoja tungane tujenge taifa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Tujenge Taifa (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
EXRAY
Kenya
Exray aka X Ray or Taniua real name Tony Kinyanjui is an artist from Kenya. A member of th ...
YOU MAY ALSO LIKE