Wewe Lyrics

Nilikuona juzi ukipita
Kajipa moyo na nikakuita
Ukasimama nikakaribia
Hisia zangu kaanza simulia
Kichwani mwangu fikira na mawazo
Na tumaini la kujenga mwanzo
Wa upendo na huyu mrembo
Naacha ufisi nabadili mienendo
Baby skia, nimebadili yangu njia
Hisia ninazo sikia, nisha amua, amua ni wewe
Baby skia, umenichanganisha pia
Nimemaliza kuulizia, nimeamua ni wewe
Amua ni wewe
Sisemi sikupendi, lakini siwezi
Moyo wangu kavunjwa mara mia
Lakini bado nataka kuwa nawe
Tujenge nyumba tuishi na baadaye
Watoto nao waweze kutupenda
Naogopa usinivunje moyo
Baby skia, nimebadili yangu njia
Hisia ninazo sikia, nisha amua, amua ni wewe
Baby skia, umenichanganisha pia
Nimemaliza kuulizia, nimeamua ni wewe
Amua ni wewe
Wewe, wewe, wewe
Wewe, wewe, wewe
Wewe, wewe, wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Dive In (Album)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MUTORIAH
Kenya
Mutoriah is a Kenyan Producer | Singer-songwriter| Keyboardist| Music Director| and a Curator ...
YOU MAY ALSO LIKE