Nipee Lyrics
Natokeanga form na confidence
Nishanyanya zile ma evidence
Tukieza pendana coincidence
Niongeze tu feeling kwa agreement
Hello, high me
Excuse me why me
Sorry it's you I mean
Why do you have to call me mimi
Nimekuita mi ju unakaa my other half
Unaeza kaa poa si tu take a photograph
Naeza kuandikia love kama autograph
Full stop yes paragraph
They call me mamluki kamikaze
My teacher used to call me flabagasted
Yaani mi ni mtu bloody fuckn
Sisi ninaona tunaenda kukuwa watu blali fckn
Huh umenibamba videadly
Ukipinduka nadedi
Si hadi unifanye your bestie
Nipatie hata kama ni friendly
Nipee, nipee, nipee, nipee
Si unipee
Nipee, nipee, nipee, nipee
Si unipee
Okay naogopa but I'll say yes
Utanifunza, of course yes
Utanichunga, ofcourse yes
Kila kitu unataka I'll say yes
Tuanze baby steps, you have to bend knees
Move slowly zungusha hio hips
Then slowly touch your lips
Say yes oh yes
Usiende offside stay in your position
Usimind beb kwanza tumalize mission
Nakupea mareal sijai penda fiction
Sikatai beb nilikuwa nimekaa sana, but
Umenibamba videadly
Ukipinduka nadedi
Si hadi unifanye your bestie
Nipatie hata kama ni friendly
Nipee, nipee, nipee, nipee
Si unipee
Nipee, nipee, nipee, nipee
Si unipee
Nipee, nipee, nipee, nipee
Si unipee
(Black Market Records)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nipee (Single)
Copyright : (c) 2021 Black Market Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
EXRAY
Kenya
Exray aka X Ray or Taniua real name Tony Kinyanjui is an artist from Kenya. A member of th ...
YOU MAY ALSO LIKE