Home Search Countries Albums

Bebi Bebi

NYASHINSKI

Bebi Bebi Lyrics


Only you babe
Only you babe
You are my only one (babe)
My only one (babe)
 
Some say a fool never change
His mind well maybe
Baby Im a fool for you
Mapenzi kipofu kipenda maovu
Honey ooh love is blind
Never seem so true

When I’m broke
Natumianga bro please call me
Akipiga naomba dooh
Mbona kuna message
Inajitumanga send me money
To cut a long story short yoyo
Vumilia na mimi
Please don't leave me
Don't let the money fool you
Sponsors just wanna use you
Namwambia mtoto wa mama Hasiharibikeee
Ananishow ni biasharaa tuu
Na siwezi mshibishaa na Pangangaa tuuu
Na mwezi ukiisha Sina ujanja too
Na renti ikibishwa huanga blunder wowowowowo

[CHORUS] :
Bebi Bebi
Kwani me wakati Sina
Leo Sina kitu
Kesho ntafanikiwa hmmm
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni
Sitasahau mahali nimetoka na weh
Bebi me wakati Sina
Leo Sina kitu
Kesho ntafanikiwa hummm
Na nikibarikiwa
Ahadi yangu ni
Sitahau mahali nilipotoka na weh

Only you babe
Only you babe
You're my only one babe
My only one
 
[Verse 2]
Girl I wanna, Girl I wanna
Girl I wanna take you to my mama
Show her you're the one for me
I'll never ever never ever leave you
Oh believe me when I say you’ll forever be my queen
Yule nalala naye kwa dhiki
ntalala naye Kwaa faraja
Ahadi yangu ndo hiyo
Kama pamoja tumelia
tutacheka pamojaa
Wou  vumilia na mimi
please don't leave me
Don't let the money fool you
Sponsors just wanna use you
Mtoto wa mama usiharibike eeii yeaaah iyeee
 
CHORUS
Bebi Bebi
Kwani me wakati Sina
Leo Sina kitu
Kesho ntafanikiwa hmmm
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni
Sitasahau mahali nimetoka na weh
Bebi me wakati Sina
Leo Sina kitu
Kesho ntafanikiwa hummm
Na nikibarikiwa
Ahadi yangu ni
Sitahau mahali nilipotoka na weh
 
Weh weh weh
Yeah yeah yeah
Sitahau mahali nilipotoka na weh
Only you babe, only you babe,  my only one

Okay sa nacheza kabubu
Babe I dont talk I just do
We mtamu kama buyu
Zaidi ya kwa chini upo juu
Forever you be my only one
Tukiachana itaniuma na
Najua kuna nigga anangoja niharibu
Aruke ndani ka superstar
Usiache hi happen
Ishikirie ka siri nikimake it in life then
Nikushikirie hata mimi
You make me ooh babe don’t let me go
Stay besides me
You make me complete how will ma heart beat
Without you
 
CHORUS
Bebi Bebi
Kwani me wakati Sina
Leo Sina kitu
Kesho ntafanikiwa hmmm
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni
Sitasahau mahali nimetoka na weh
Bebi me wakati Sina
Leo Sina kitu
Kesho ntafanikiwa hummm
Na nikibarikiwa
Ahadi yangu ni
Sitahau mahali nilipotoka na weh

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Bebi Bebi (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

NYASHINSKI

Kenya

Nyamari Ongegu aka Nyashinski ( Born on 8th April 19' )  is a Kenyan musician and rapper ba ...

YOU MAY ALSO LIKE