Nakumiss Lyrics
Eyo shawn
Vinny flava
Aha ahahm
I miss you
Iyeeeh
Everybody needs somebody
To miss and kiss when you feeling low
Imagine when you miss somebody
To miss and kiss coz you already know
Everybody needs somebody
To miss and kiss when you feeling low
Imagine when you miss somebody
To miss and kiss coz you already know
Mapenzi yanauma na wengi wanaumia,inauma jamani
Kupenda asio kupenda moyoni utaumia,utalia na nani
Mapenzi yanauma na wengi wanaumia,inauma jamani
Kupenda asio kupenda moyoni utaumia,utalia na nani
Kuna wakati nakumiss
Nakumiss, i miss you
Nikikumbuka zile kiss
Zile kiss i miss you
Kuna wakati nakumiss
Nakumiss,i miss you
Nikikumbuka zile kiss
Zike kiss i miss you
Kuna wakati nakumiss
Nakumiss,i miss you
Nikikumbuka zile kiss
Zike kiss i miss you
Na huko mbali we ulipo nakuombea aaah
Usinisahau me mwenzio nakukumbusha tu
Na huko mbali we ulipo nakuombea aaah
Usinisahau me mwenzio nakukumbusha tu
Kama uko sawa biby me nko sawa
Nina tambua nakumiss sanaa
Kwa roho yangu bado we ndio dawa
Na akilini bado nakuwaza
Mapenzi yanauma na wengi wanaumia inauma jamani
Kupenda asio kupenda moyoni utaumia utalia na nani
Oyohoyoh
Kuna wakati nakumiss
Nakumiss, i miss you
Nikikumbuka zile kiss
Zile kiss i miss you
Kuna wakati nakumiss
Nakumiss, i miss you
Nikikumbuka zile kiss
Zile kiss i miss you
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE