Selelea Lyrics

Usipige simu usitume message
Usipige simu ooh usitume message
Nishapata babe anaeutuliza mtima
We siulijuona cake ukasma kundazhadima
Eti mi nawe sio same pear
Ni nuksi t undo nakugea
Ukawapa wakanigongea
Ukimya tu sikuongea
Ulichokosa kujuwa mwenzio na nyota yakupendwa
Uliponiachia mwenzako akanichukua
Selelea selelea naselelea
Selelea selelea nimeanza kujinonea
Selelea selelea naselelea
Selelea selelea nimeanza kujinonea
Umepauka huangaliki tena sio vile nilivyokuacha
Mafuta hujipaki tena au ngozi ndo ilikukataa
Ya mungu mdomo koma nisiseme sana mana nyuma sikuona
Nilipona majeraha mwaya
Niliumwa ila nipo sawa
Nilipata tiba yangu dawa
We kwako msiba pote mwaya
Kurudiana nawe hizo ndoto za mchana
Nilipata babe sare huyu ndo tunaendana
Kumbukumbu zako nishafutaga
Maneno yako nakumbukaga
Eti mi nawe sio same pear
Ni nuksi t undo nakugea
Ukawapa wakanigongea
Ukimya tu sikuongea
Ulichokosa kujuwa mwenzio na nyota yakupendwa
Uliponiachia mwenzako akanichukua
Selelea selelea naselelea
Selelea selelea nimeanza kujinonea
Selelea selelea naselelea
Selelea selelea nimeanza kujinonea
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE