Roadman Chronicles Lyrics
Nikistep kwa block
Ni stench cotton mouth hio thirst naiquench
Nigga alipigia feds umeamua kutucross kaa Trent
Jodye nafanya plain anahema kaa tent
Kusupply Jo nina intent
Niko stuck kwa street jo kaa cement
Peng anazua mi humuita bitch excuse my French
Siezi roll joint skinny Huyu bitch yupenda mavela hench
Kush ups nigga napress hio bench tukiset caretaker anakamia rent
ATI consent dem asha arc hio shit iko bent
Si kwa ubaya Si Kwa ubaya nilikufinesse tukiflip hizi Kaya
On God najua kuna wasee low-key Wanadai kunichoma na tyre
Bado nazoza mi huwa get high kaa Himalayas
Wasitiri gizani kaa kimalaya
Feds wamekua on my ass labda ni nyi mnaniombea karma
Chogi wa mine aligeuka opp mi naweka lawama
Ukileta umama hii biz sikuchochi walai utazama
Unadai beef Niko apa Jogoo Road karibu na Burma
Kaa huna stripes hizi ends move low utaachwa na maalama
Naficha rada yardie bro anadai kuna ma informer
Bro umekam na mstiri lakini anakaa jo undercover
Still Niko road nakazana nachase hio Glitz and glamour
0-17 nilistep hizi streets nikageuka local scammer
Peng anadai sijaomoka mshow jo itabaki amenoki grammar
Same day alibump Free Smoke anadai kusmash juu naspit kaa llama
Tukihop kwa beat mi na Gean tunamove kaa dum and dummer
Budda ulizia kila track tunadrop ni banger
Viding kidungi ndo armour huwezi nitouch MC hammer
Madriller mnachocha Sana story za Glock na hujai cock hammer
Dickhead!!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Roadman Chronicles (EP)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
JODYE FANETO
Kenya
Jodye Faneto is a Kenyan drill artist hailing from the Eastsides Nairobi. ...
YOU MAY ALSO LIKE