Home Search Countries Albums

Kukumanga

TESA TESA

Kukumanga Lyrics


Niko isaa niko idhaa
Kukumanga nikiseti anadai namuumiza
Kichingiri nikiseti ka firimbi napuliza
Na waras wakinidai na Fuliza

Ndo maji imwagike kibuyu katingiza
Bash ni ya waras na shadda inatisha
Niko ombitho tafa fungua dirisha
Pongi flani pongi inaitisha kwa gizani hata

Ongeza stamina uitwe ever ready
Mi ni mkristo lakini devo kwa bedi
Ma 07 kwa tenje ni mapedi 
Mpige design atabaki amemedi

Nguvu za kiume 1, 2 kukumanga
1, 2 steps bigi ndio kukumanga
Nguvu za kiume 1, 2 kukumanga
1, 2 steps bigi ndio kukumanga

Niko na maziwa na we una kapussy
Kalete kaikunywe ju walai nimekamissi
Wacha nikaimbie nikabless ka kasisi
Ndo baadaye tuimwagishe ka freekick ya Messi

Ni daktari wa mizizi
Wa kukutibu na mistari za uzazi
Kuwatesatesa hata warazi
Watoto wazazi maboy na mamanzi

Nishakuwa arstonist kuchomaga miti shamba
Na base mimi ndo pastrolist
Juu ndakas ndio pasture
Lojo side za pipu zinajua mi ndo plumber

Vitanda ndo macrime scene usiku kujinyonga
Dumba nikiroga manze flow haitaji duster
Juu ni line after line utadhani nachapa powder
Dem anaskia horny ka afande ako traffic
The nganya price si fare na anadai karide
Nakemba game warden akidigiki na nyoka
Vibare za kisogo kwa kunguni zikifyonza

Ongeza stamina uitwe ever ready
Mi ni mkristo lakini devo kwa bedi
Ma 07 kwa tenje ni mapedi 
Mpige design atabaki amemedi

Nguvu za kiume 1, 2 kukumanga
1, 2 steps bigi ndio kukumanga
Nguvu za kiume 1, 2 kukumanga
1, 2 steps bigi ndio kukumanga

Ngeus ako on amesetiwa na kaveve
Mkumbatie kwa giza ndo mtoe tu kanjeve
Matina zinasonga kinyamu ipate malwedhe
Sare form ya ex mi hudai yule ako mapembe

Kam nikutibu na mizizi ya daktari
Sikukidai nikubisect siutajua nina mistari
Nikusoso na karoyco nikuchase na kachumbari
Wananiitanga Wawesh chief chef yule hatarii

Ongeza stamina uitwe ever ready
Mi ni mkristo lakini devo kwa bedi
Ma 07 kwa tenje ni mapedi 
Mpige design atabaki amemedi

Nguvu za kiume 1, 2 kukumanga
1, 2 steps bigi ndio kukumanga
Nguvu za kiume 1, 2 kukumanga
1, 2 steps bigi ndio kukumanga

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Kukumanga (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

TESA TESA

Kenya

Tesa Tesa is a group of artist from Kenya made up of Emzee,Ob££zy,Rigo,Daktari and ...

YOU MAY ALSO LIKE