Niepushe Lyrics
Aah aah, mmmhhh, uwo uwo
Echo; mmmmhh
Dear Lord
Najua unaniona
Nangianana napambana
Huku jua lanichoma ona
Leo nahabaari fuupi, naomba niseeme naawe
Japo najua unayaona Baba weeh
Ama nilile tunda alopewa hawa, ndo linalotusabishia haya
Maana sielewi, sielewi
Nashangaa mtu anakuchukia bila sababu
Anachotaka kila siku upate tabu
Mbiombio kila siku kwa babu ona oooh
We ulisema riziki mafungu saba
Wameshindwa kungoja hadi wana kaba
Wengine wanangoja mali za Baba ona oooh
We ulisema riziki mafungu saba
Wameshindwa kungoja hadi wana kaba
Wengine wanangoja mali za Baba ona oooh
Niepushe, niepushe, niepushe
Na yawalimwengu nisijetumbukia
Niepushe, niepushe, niepushe
Na yawalimwengu nisijetumbukia
Hivi alieleta pesa nani?
Hivi pesa ndo shetani?
Au sis indo mashetani ?
Sielewi,ona
Asahivi mzazi anauwa mwanae
Kisa utajiri mengine baadae
Dunia ina mengi ila mengi yakutema tu
Sasahivi mwenye haki hana haki
Wenye haki wa milli na malaki
Wa mihogo wa kuti si bati uende wapi ?
Vifo vya leo vimekua sherehe
Ukifa wengine wanafata mchelee
Wengine watalia wengine kelele mana walitamani iwe hivyo
We ulisema riziki mafungu saba
Wameshindwa kungoja hadi wana kaba
Wengine wanangoja mali za Baba ona oooh
We ulisema riziki mafungu saba
Wameshindwa kungoja hadi wana kaba
Wengine wanangoja mali za Baba ona oooh
Niepushe, niepushe, niepushe
Na yawalimwengu nisijetumbukia
Niepushe, niepushe, niepushe
Na yawalimwengu nisijetumbukia
Yawalimweengu siyawezi mwanao yawalimwengu ooh
Aaah niepushe eehh ahaa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Niepushe (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE