Sitaki Lyrics

Life is so beautiful, iko sawa
Cos my baby is so beautiful, nishanawa
Ole za baby oh yeah, kagawa
Nichanganyikiwe kabisa, chachawa
Unavyopulika, pulika kane
Unafanya niwe kiane
Ukipulika pulika, pulika kane
Wewe ni wangu sio wa mane
Sitaki taki shida
Nilishasota sana kwake nimefika (Kiko)
Sitaki taki (Eh), sitaki taki
Sitaki taki (Eh), sitaki taki (Eh eh eh)
Sitaki taki (Eh), sitaki taki (Eh eh eh)
Sitaki taki (Eh), sitaki taki
Ananipa nachotaka sawa, sitaki shida
Namfikisha anapotaka sawa, sitaki shida
Nimewaacha mbali manamba, sitaki shida
Nikiwa ndani, ndani mimi na wewe baby, sitaki shida
Unavyopulika, pulika kane
Unafanya niwe kiane
Ukipulika pulika, pulika kane
Wewe ni wangu sio wa mane
Sitaki taki shida
Nilishasota sana kwake nimefika (Kiko)
Sitaki taki (Eh), sitaki taki
Sitaki taki (Eh), sitaki taki (Eh eh eh)
Sitaki taki (Eh), sitaki taki (Eh eh eh)
Sitaki taki (Eh), sitaki taki
Unavyopulika, pulika kane
Unafanya niwe kiane
Ukipulika pulika, pulika kane
Wewe ni wangu sio wa mane
Sitaki taki shida
Nilishasota sana kwake nimefika (Kiko)
Sitaki taki (Eh), sitaki taki
Sitaki taki (Eh), sitaki taki (Eh eh eh)
Sitaki taki (Eh), sitaki taki (Eh eh eh)
Sitaki taki (Eh), sitaki taki
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Sitaki (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE