Home Search Countries Albums

Tila lila

JAY MELODY

Read en Translation

Tila lila Lyrics


Zheeeeeyy

Once again

Olaaah

Mi nshakwambia mimi nshakwambia

Siwezi mambo kukurupukia

Una plan za watoto na ndoa here here

Kama hujalewa nikuongezee beer

Kwenye haya mambo wenzako wanaumia

Vilio au haujasikia

Tumeonana siku moja unaleta hisia

Hayo mambo siyapendi

Je utafahamu vipi ka napenda vanilla

Utafahamu vipi napenda mpira

Na je utafahamu vipi ka napenda kuzira

Ama kulewa tila lila

Je utafahamu vipi ka napenda vanilla

Utafahamu vipi napenda mpira

Na je utafahamu vipi ka napenda kuzira

Ama kulewa tila lila

Jamani tila lila (tila lila)

Tila lila (tila lila)

Tila lila (tila lila)

Au kulewa tila lila

Jamani tila lila (tila lila)

Tila lila (tila lila)

Tila lila (tila lila)

Au kulewa tila lila

Once again

Kwani utao lini bado niponipo kwanza

Unasema bado nipo nipo sana

Umaniona njiwa unanitega kwa mtama

Aanhaaa ooooohh

Kama unanicha niache

Nifanye mambo mengine

Nipe nafasi nipende viumbe wengine

Unaiona potential na unaidai mpaka mwisho

Unaing’ang’ania line le oleo hungoli kesho

Nikisema ntakuoa kwa sasa nakudanganya

Tunza moyo wako atatokeo tu kijana

Unaniita tu mpenzi na mapenzi yenyewe hakuna

Jichunge we mtoto zitafika tu hizo zama

Vilio ni vingi na huja sababu ya haraka

Pupa zinaponza watu sio kuku sio paka

Kama nitafika mtaniona mapema

Sina kona kona nikitaka ntasema

Una wahi wapi acha kuikimbiza shari (simidat)

Na uambiwe mara ngapi hii habari

Kabla sijaondoka nikutakie kila la kheri

Sichezi ngumu kuipata nisipatikane kweli

Je utafahamu vipi ka napenda vanilla

Utafahamu vipi napenda mpira

Na je utafahamu vipi ka napenda kuzira

Ama kulewa tila lila

Je utafahamu vipi ka napenda vanilla

Utafahamu vipi napenda mpira

Na je utafahamu vipi ka napenda kuzira

Ama kulewa tila lila

Jamani tila lila (tila lila)

Tila lila (tila lila)

Tila lila (tila lila)

Au kulewa tila lila

Jamani tila lila (tila lila)

Tila lila (tila lila)

Tila lila (tila lila)

Au kulewa tila lila

Once again

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2025


Album : (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

JAY MELODY

Tanzania

  Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he ...

YOU MAY ALSO LIKE