Mr Kuweza Lyrics
Anaitwa janjaro hayaa hayaa
Anaitwa janjaro hayaa hayaa
Anaitwa janjaro
Naitwa janjaro nembo ya kilimanajro
Bonge la nyang’au bonge la sharobaro
Ukiniona kama fala kiunoni kumejaa
Simuogopi mtu zaidi namuogopa jah
Peponi hakujajaa, kule kunanifaa
Au vipi JCB, umesikia pah
Me ndio super star, cheki ninavong’aa
Ndiomaana nakimbiza mpaka kwao dar
Me ndio mr kuweza wecheza unavyoweza
Ukicheza zakiswazi me ntacheza kingereza
Mtanigeza, nitawameza
Haswa mkilete ile michezo ya fedha
Hayaa hayaa (hayaa)
Hayaa hayaa, mtanambia nini
Hayaa hayaa (hayaa)
Hayaa hayaa, me wa ngarenaro uswahilini
Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee
Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee
Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee
Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee
Mnajua me ni mnoma, nahivi sijasoma
Ila ninavyofanya wenyewe simnakoma
Nishatimba chaka zote, mwanza dodoma
Nahivi keshokutwa nakwenda kumcheki roma
RIP young D na wote wasiopendeza
Mwambieni young killer yule mzungu alinikonyeza
X wangu kanicheki, nikamkatia simu (weee)
Nikamwambia ebo unawazimu
Me ndio mr kuweza wecheza unavyoweza
Ukicheza zakiswazi me ntacheza kingereza
Mtanigeza, nitawameza
Haswa mkilete ile michoze ya fedha
Hayaa hayaa (hayaa)
Hayaa hayaa, mtanambia nini
Hayaa hayaa (hayaa)
Hayaa hayaa, me wa ngarenaro uswahilini
Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee
Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee
Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee
Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee
Chochote anafanya hakuna asichokiweza
Anaitwa janjaro
Kutoka chini mpaka mr kuweza
Anaitwa janjaro
Chochote anafanya hakuna asichokiweza yee
Anaitwa janjaro
Kutoka chini mpaka mr kuweza oyoo oyoo janjaro
Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee
Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee
Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee
Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Mr Kuweza (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE