Nitakupa Lyrics
Malaika
Wako mwanga, wamulika
Kila kona
Ayo mapenzi yako kisimani
Nishazama, ndo ivyo nishafika
Si unaona mwenzio
Kwako nimejituliza
Kwangu umetoa giza
Penzi lako miujiza mwenzio
Hata wakiniuliza
Juu ya utamu unaonipa
Majibu yangu umepitiliza
Unaikosha roho
Ntakupa,ntakupa
Moyo wangu nitakupa
Ntakupa,ntakupa
My baby nitakupa
Ntakupa,ntakupa
Huu moyo nitakupa
Ntakupa,ntakupa
My baby nitakupa
We utamu wako
Kama nakuny wa supu
Haunikafi, kama umeme wa luku
Vidamibwi vyako
Ukinipa chukuchuku
Asalam aleykum majirani
Nipe nzima basi
Usinipatie nusu
Na hadharani nikushike nikubusu
Utapewa kesi mi naona
Nikuia ndani mwenzio
Kwako nimejituliza
Kwangu umetoa giza
Penzi lako miujiza mwenzio
Hata wakiniuliza
Juu ya utamu unaonipa
Majibu yangu umepitiliza
Unaikosha roho
Ntakupa,ntakupa
Moyo wangu nitakupa
Ntakupa,ntakupa
My baby nitakupa
Ntakupa,ntakupa
Huu moyo nitakupa
Ntakupa,ntakupa
My baby nitakupa
Oh take my heart
You are my number one
Take my, take my, take my heart
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Copyright : (C) 2024 Sony Music Entertainment Africa (Pty) Ltd, under exclusive licence from Rockstar Africa Label & Management
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
OMMY DIMPOZ
Tanzania
Born on September 1987 in Dar Es Salaam, Omary Faraji Nyembo, better known as Ommy Dimpoz, is a reco ...
YOU MAY ALSO LIKE