Yule Boy Lyrics

Na hunikuti nipo lowkey kama sina fedha
24/7 nimependeza
-- game ya Bongo flava
Inabidi utumie akili kujiongeza
Zile simu nilopata wapi
Please sitaki tena
Gotta hustle hard
Mama aishi vyema
Sio rahisi
You can't stop me
Boy jipange tena
Huwezi shindana na muda unavyosema
Wanauliza huyu ni nani
Huyu ndio boy, boy
Nembo zote mtaani yule boy boy
Napo shika mic, you know it, know it
Wana wanatingisha vichwa ladies go wow wow
Nilipambana na nikashinde
Kalika nikaimbe
Mama akasema nikipata pesa nikavimbe
Sa magoma nasikinde
Nachoma cha kiringe
Mitozi huna kazi, shika rungu ukalinde
Kama hailipii, kwangu no no no no no no
No no no no
Haipitiki, usipite no no no no no no
No no
Sandaka la wee, la wee, lawee
Oooh sandaka la wee, la wee, lawee
Sandaka la wee, la wee, lawee
Oooh sandaka la wee, la wee, lawee
Hakuna mission, tafuta mission ndo uenjoy
Tukinukishe, waombe feni panga boy
Wabishi wabishe, natokota haya boyz
Si unataka tuitimishe, anzisha uone boi
Siku hizi sitaki, kona kona
Sembe ni nyeupe usiite dona
Mrefu, kati, umenona
Usidhani ni dem, mikataba ndo nasoma
Nilipambana na nikashinde
Kalika nikaimbe
Mama akasema nikipata pesa nikavimbe
Sa magoma nasikinde
Nachoma cha kiringe
Mitozi huna kazi, shika rungu ukalinde
Kama hailipii, kwangu no no no no no no
No no no no
Haipitiki, usipite no no no no no no
No no
Sandaka la wee, la wee, lawee
Oooh sandaka la wee, la wee, lawee
Sandaka la wee, la wee, lawee
Oooh sandaka la wee, la wee, lawee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Yule Boy (Single)
Copyright : (c) Roof Top Entertainment
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
COUNTRY BOY
Tanzania
Country Boy also known as Country Wizzy is an artist from Tanzania signed under Konde Music Worlwide ...
YOU MAY ALSO LIKE