Mimi na Wewe Lyrics

Sina habari na weweeeh
Nasema sina story na weeeh
Kamwe sina chakuongea na weweeeh
Mapenzi yetu ukakata shina
Eti siendani na weweeeeeh
Sawa unanipenda
Na me nishapendwa
Nafasi niliokupaga ulisha ichezea
Ulisema sitopendwa tena mbona nishapendwa
Sasaiv sipewi makorokoro kama yako nishatema
Me na weeeeh
Tushachana mi nawe
Me na weeeeh
Tushachana mi nawe
Me na weeeeh
Tushachana mi nawe
Me na weeeeh
Tushachana mi nawe
Huyu wa sasa anajali anajali hanioni kama koloooo
Kitandani hodari hodori
Wabilinge bayoyo
Eeeeh nakupa poleee eeeh
We poleee kama kojo lishakubana kakojoe ukalale
Tena unikomee eeeh
Unikome kunitext asubh sipendi si uliniona mnyonge
Sawa unanipenda Na me nishapendwa
Nafasi niliokupaga ulisha ichezea
Ulisema sitopendwa tena mbona nishapendwa
Sasaiv sipewi makorokoro kama yako nishatema
Me na weeeeh
Tushachana mi nawe
Me na weeeeh
Tushachana mi nawe
Me na weeeeh
Tushachana mi nawe
Me na weeeeh
Tushachana mi nawe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Copyright : ©2025 Disamoo.All rights reserved.
Added By : Disamoo
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE