Home Search Countries Albums

Yesu Yu Mwema

CHRISTINA SHUSHO

Yesu Yu Mwema Lyrics


U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu
U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu

U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu
U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu

U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu
U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu

Ni nani awezaye kusimama mbele yako
Ni nani aliyetangulia kukupa 
Hata mimi unipe

Kile kilicho chini ya mbingu nzima
Ni chako wewe
Hutonyamaza kusema 
Habari za njia zangu

U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu
U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu

U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu
U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu

U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu
U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu

U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu
U mwema baba, umwema Yesu
Umwema mwokozi wangu

---
----

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Kitu Gani (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CHRISTINA SHUSHO

Tanzania

Christina Shusho is a Gospel  artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE