Mento Lyrics
Me kwako nishafika stendi sijui ni ubungo au wapi?
Nitumie usafiri gani nije kwa ungo au basi
Eti mapenzi jela hiki kifungo cha wapi
Mbona haunipi mateso au nikifungo cha shati
Na inafahamika me nijiko we ni mpishi
Kitandani nyani full kucheza na miti
Kama nikifulia usinicheat
Mbona tushashinda njaa sembuse kushinda vishawishi
Kama dozi we kwinini (kwako ni mento)
Wanawaza tuachane lini (nimeshasettle)
Nawakata ndimi (ukiibuka geto,unawapa joto,wape na lesso)
Kwanza tuna match, wengi wana ntatalila wengi wanatantalila
Usinipige bench wengi wanatantalila wengi wana tantalila
Chakwanza unanishangaza
Pili unanikoleza ooh baby ntakuweka kwenye bango nitangaze
Vikopakopa umejaza udambwi dambwi chombeza ooh baby
Ntakumilikisha akili uitawale
Kwako mi ni (me!! Me!!mento )
Kwako mi ni (me!!me!!mento)
Kwako mi ni (me!!me!!mento)
Kwako mi nimento baby oooh
Ntaambia nini waulimwengu siku ukinipiga chini
Nitaificha wapi sura yangu hapa mjini
Kuhusu michepuko mapambano umeshawini
Usishindane na sindano mama we Bonge la pini
Nishakupa chance ,nipende mpaka basi
Mpaka wanaonidiss siku moja watu discuss
Nakupa. A Max ,ma ex sasa basi
Watanyoosha maelezo bila kutumia pasi
Kama dozi we kwinini (kwako ni mento)
Wanawaza tuachane lini (nimeshasettle)
Nawakata ndimi (ukiibuka geto,unawapa joto,wape na lesso)
Kwanza tuna match, wengi wana ntatalila wengi wanatantalila
Usinipige bench wengi wanatantalila wengi wana tantalila
Chakwanza unanishangaza
Pili unanikoleza ooh baby ntakuweka kwenye bango nitangaze
Vikopakopa umejaza udambwi dambwi chombeza ooh baby
Ntakumilikisha akili uitawale
Kwako mi ni (me!! Me!!mento )
Kwako mi ni (me!!me!!mento)
Kwako mi ni (me!!me!!mento)
Kwako mi nimento baby ooh!!
Nishazifunga mboni bebe (bebe
Nipo kwa bedi njoo ni bebe (bebe)
Mtoto kashasimama dede (dede)
Njoo Urambe corn bebe (bebe)
Na ahidi niwe nawe milele,naahidi niwe nawe milele
(shytown boy)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Mento (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE