Ametenda mema Lyrics

Moyo wangu sifu Bwana sifu Bwana
Siku zote Halleluyah Hallelujah
Imba imba, anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe anaweza
Ndiye Bwana wa mabwana
Oooh Moyo wangu
Moyo wangu sifu Bwana sifu Bwana
Siku zote Halleluyah Hallelujah
Imba imba anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe anaweza
Ndiye Bwana wa mabwana
Shangilia ametenda mema
Yesu Bwana mfalme wa ajabu
Ameshinda kifo na mauti
Atawale milele amina aah
Shangilia ametenda mema
Yesu Bwana mfalme wa ajabu
Ameshinda kifo na mauti
Atawale milele amina aah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Ametenda mema (Single)
Copyright : ©2017
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
PASTOR HERMAN PHILLIP
Tanzania
Pastor Herman Phillip is an author/President of Zemirah Ministries International. ...
YOU MAY ALSO LIKE