Home Search Countries Albums

Fearless Lyrics


My dissapearance itafanya wanimiss unju fearless
Wana- Wanajua kuwa sikuwahi kuogopa
Nilisimama kweli na sikuwahi kuogopa
Kwanza pande zao siti baggy data unju 
Nikki Mbishi niko pili sweet monkey
Nikichana sifichagi mi na dhiki mi ni dhambi

Nameishi Kija barz street junky
Nipate Manyanya junction
Wanajicho nyanya banana wamefanya champaigne
Wanasaga mandata wamebaki wanting
Pindabway ni zaidi ya Patoranking we burn dem
On my way nikifuata dream sitamess kwa wakati
Umeme tu bali wanakata steam
Fuata scheme unaweza ukawa mfalme 
Lakini kumbe ni Burger King

Ninakwambia aaah
No fear am fearless, umeskia aah 
No fear me fearless ninakwambia aah
No fear am fearless umeskia aah
No fear me fearless, fearless

Niko high as - rocket
Astronaunt umbwe spaceship kwenye socket
Fly high on the sky na kitu ambazii
Wanangu wameundwa wachangishe shanga zii

No fear no, kuiya ukizingua unalia
Polisi walojaribu watakusimulia
Mainstream ya underground tupo jangwani
Skiza ma thunder sound yake inaigwa nani?
Niko na unju -- ukitoka nduki
Rumande ya utio hautakio mamluki

Naleta chuki nina roho ka mkuki
Mikausho mikali unaliwa ka muki
Ushawai pigwa mpaka ukawa hukumbuki
Ushawai shindwa mpaka ukawa husumbuki
Ushawai pigwa mpaka ukawa hukumbuki
Ushawai shindwa mpaka ukawa husumbuki

Ninakwambia aaah
No fear am fearless, umeskia aah 
No fear me fearless ninakwambia aah
No fear am fearless umeskia aah
No fear me fearless, fearless

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Fearless (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CHINDOMAN

Tanzania

ChindoMan is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE