Home Search Countries Albums

Maasai

CHINDOMAN Feat. DULLY SYKES

Maasai Lyrics


Nimeizunguka dunia eeh
Nikitafuta wa kunifaa eeh
Lakini nilipofika Long'ido
Nikakaona kabinti ka kimaasai

Nimeizunguka dunia eeh
Nikitafuta wa kunifaa eeh
Lakini nilipofika Long'ido
Nikakaona kabinti ka kimaasai

Maasai, nimempenda binti yako
Maasai, hata kuoa nipo tayari
Maasai, kesho niwe mkwe wako
Maasai, nikubali nitoe mahari

Masai, nimempenda binti yako
Masai, hata kuoa niko tayari
Masai, kesho niwe mkwe wako
Masai, nikubali nitoe mahari

Mwanao niko naye kitambo alafu nampenda
Nimekuja kujitambulisha kabla sijamtenda
Siku zinaenda nayo kalenda inaomba tenda
Ooo raiya nataka niwe wenu member

Niitwe Mr. Lemayani Ole Mitemba
Tufanye something baadae kuremember
Sitegemee kuja kuachana si solemba
Jinsi unavyoremba umeniteka moyo ndito

Sintofanya kosa yige iwe finito
Nitazoea kula loshoro tufuge ng'ombe
Nitalala mapema sio kukesha kunywa pombe
Mwenyezi atujalie watoto tumuombe
Tuanze familia tuwe kitu kimoja
Nitakulinda siku zote mi ni wako soja
Mwanao niko naye kitambo alafu nampenda
Namekuja kujitambulisha kabla sijamtenda

Nimeizunguka dunia eeh
Nikitafuta wa kunifaa eeh
Lakini nilipofika Long'ido
Nikakaona kabinti ka kimaasai

Nimeizunguka dunia eeh
Nikitafuta wa kunifaa eeh
Lakini nilipofika Long'ido
Nikakaona kabinti ka kimaasai

Maasai, nimempenda binti yako
Maasai, hata kuoa nipo tayari
Maasai, kesho niwe mkwe wako
Maasai, nikubali nitoe mahari

Naomba unikubali nitoe mahari bila shari
Hii dunia nimeizunguka kila mahali
Nataka uje ndito unilindie mali
Familia na watoto ndo ulijali

Tukipendana mwenyezi atatujalia sana
Hakuna mbele yetu litakalo shindikana
Wazazi wako nipe ruhusa tushaelewana
Nitoe mahari twende nyumbani ukawe mama

Nakuzimia na nyorai
Wangu kipenzi
Wewe mamalai
Nitahamia Long'ido mie

Nakuzimia na nyorai
Wangu kipenzi
Wewe mamalai
Nitahamia Arusha mie

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Maasai (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CHINDOMAN

Tanzania

ChindoMan is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE