Kwa Jina Lyrics

Ni kwa jina la baba
Na la mwana aah
Na la roho mtakatifu
Ameni oooh
Ni kwa jina la baba
Na la mwana aah
Na la roho mtakatifu
Ameni
Wamepanga kunimaliza
Mambo mabaya juu yangu wanawaza
Wameshindwa wao ndo wanataabika
Haya maisha yangu
Kwao yamekuwa shule
Katika nyumba za waganga wa jadi
Kunitukana mimi
Kunisengenya mimi
Kunitegea mabaya wamefeli
Ni kwa jina la baba
Na la mwana aah
Na la roho mtakatifu
Ameni oooh
Sijamuua mtu
Siwezi kata tamaa sababu ya watu
Mungu yupo nami
Siku zote ooh
Hchi nilichobarikiwa ndo mnichukie
Ni wanafiki dua zenu niangamie
Niharibikiwe
Nimesimama na mungu
Hamniwezi
Haya maisha yangu
Kwao yamekuwa shule
Katika nyumba za waganga wa jadi
Kunitukana mimi
Kunisengenya mimi
Kunitegea mabaya wamefeli
Ni kwa jina la baba
Na la mwana aah
Na la roho mtakatifu
Ameni
Ni kwa jina la baba
Na la mwana aah
Na la roho mtakatifu
Ameni
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE