Home Search Countries Albums

Nimepatikana

KUSAH

Read en Translation

Nimepatikana Lyrics


Kusah tena

Heeh eeeh ah

Jamani huba limenikoroga akili huba

Hata nikifumba nikifumbua noana huba

Umejua hunifunza mapenzi sifa zote zako darling ooh

Kwako sisemi sihemi sikimbii na sina mbioo

Yanamwagika mapenzi oh

Huku mwenzenu sijiwezi oh

Mchana kweupe nyota mwezi

Huku mwenzenu sijiwezi

Nimepatikana, sijiwezi

Nimepatikana, sijiwezi

Nimepatikana, sijiwezi

Nimepatikana, sijiwezi

Darling nikikuona sioni kitu

Nayaona makopa kopa

Kwani umenipa nini

Umenipandisha na nyota hee

Uliposhika kwenye shingo

Chini ni moyo oooh baby utanina

Utanidhulumu na nafsi

Uchoyo mi mwenzako utaniuaa

Yanamwagika mapenzi oh

Huku mwenzenu sijiwezi oh

Mchana kweupe nyota mwezi

Huku mwenzenu sijiwezi

Nimepatikana, sijiwezi

Nimepatikana, sijiwezi

Nimepatikana, sijiwezi

Nimepatikana, sijiwezi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Copyright : (C) Winning Music


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

KUSAH

Tanzania

Kusah is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE