Nani Kama Wewe Bwana Lyrics

Nani kama wewe Bwana
Nani kama wewe
Asante roho wa Bwana
Tuulize milima inatetemeka kwa nani?
Kama sio wewe Mungu wetu
Tuulize bahari inamheshimu nani?
Kama sio wewe Mungu wetu
Wanyama wa kutisha wanamuabudu nani
Kama sio wewe Mungu wetu
Hivi ni nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Bahari ya shamu aliipasua nani?
Kama sio wewe Mungu wetu
Kuta za Jericho aliziangusha nani?
Kama sio wewe Mungu wetu
Agusaye mioyo yetu, kwa mguso wa ajabu
Kama sio wewe Mungu wetu
Sasa ni nani kama wewe, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Hakuna kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Hakuna kama wewe Bwana, Mungu wetu
Wewe ni Baba, uabudiwe
Hakuna kama wewe, wewe, wewe Baba
Hakuna kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Hakuna kama wewe Bwana, Mungu wetu
Hakuna kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Hakuna kama wewe Bwana, Mungu wetu
Hakuna kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Hakuna kama wewe Bwana, Mungu wetu
Hakuna kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Hakuna kama wewe Bwana, Mungu wetu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nani Kama Wewe Bwana (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE