Haufananishwi Lyrics

Wewe ni Mungu mpasua bahari
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .
Wewe ni Mungu mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
rudia toka juu
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi toa
rudia
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Si mwepesi wa hasira
Unaghairi mabaya
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Mungu mwenye wivu
Unatunza maagano
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Katikati ya gadhabu
Unakumbuka rehema
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi kutoa
Rudia
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Haufananishwi (Single)
Copyright : ©2018
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE