Moyo Lyrics

Ati Kupenda ni moyo kuskuma damu moyo
Vile vile Tunajua Kwamba Kutoa ni Moyo
Ila Moyo Hauko loyal
Unaweza fanya twaha kiduku akapigwa mapigo ya moyo
Moyo Kuna Muda Una Miss Ex
Yani Unamiss Tulivyo Kuwa Tuna Kiss Ety
Moyo mimi siku apreciate
Unaanzaje Kummiss mtu Aliyetucheat geust
Moyo Wangu jaribu kuwa Makini
Unampenda ambae hanipendi sasa ndonini
Anaenipenda Humpendi Moyo Kwann
Kwann kazi Ya Kupenda Usimuachie Ini
kwenye Mapenzi me naona bola unge staff
Na kam kutoa ni moyo basi kujumlisha pafu
Moyo kuna mda unacheza laffu
Ila naamua kukaa kimya kwa sababu viti vichafu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Moyo (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE