Home Search Countries Albums

Umelewa

BADDEST 47 Feat. NAY WA MITEGO

Umelewa Lyrics


Yumba kama umelewa
Kama umelewa
Mikono juu kama umelewa
Kama umelewa

Waiter zungusha sita sita yah
Wachumba wakali wanapita pita yah
Mama Anita, ongeza lita
Pesa za kwangu masnichi wanakunja ndita

Nisipolewa naona kama nimerogwa
Nikikosa kambege nakunywa hata togwa
Na nikilewa nasimama ka uyoga
Kakijileta pandia wa bodaboda

We mitungi mirungi mikasi
Tugeuke mabundi kwa fasi
Vishundu kikundi farasi
Nang'ata kanyoka papasi

Yumba kama umelewa
Kama umelewa
Mikono juu kama umelewa
Kama umelewa

Kushoto kama umelewa
Kama umelewa
Kulia kama umelewa
Kama umelewa

Kama umelewa yumba
Weka heshima baa uza nyumba
Wapambe watakulinda
Kamata babe kunja
Pinda mgongo inuka gunja
Hakuna kuvunja

Nasema twenzetu! Kunako patikana ulabu
Mwajuma kamwamsha babu
Ndo zetu! Ukituma nagawa ugadu
Pembe moja tunapiga sabu

Njoo kwetu!

We mitungi mirungi mikasi
Tugeuke mabundi kwa fasi
Vishundu kikundi farasi
Nang'ata kanyoka papasi

Yumba kama umelewa
Kama umelewa
Mikono juu kama umelewa
Kama umelewa

Kushoto kama umelewa
Kama umelewa
Kulia kama umelewa
Kama umelewa 

Nataka nilewa, rikicho bumbum
Nikachukue kachumba nikazamishe room
Nikavutie doom
Viringi viringi yaani kama gurudumu

Si-silewangwi pombe za kidosi
Nataka zile chungu ngumu kumeza
Kanuni moja si la wibi la misosi
Nimeshashiba nachafua meza

We mitungi mirungi mikasi
Tugeuke mabundi kwa fasi
Vishundu kikundi farasi
Nang'ata kanyoka papasi

Yumba kama umelewa
Kama umelewa
Mikono juu kama umelewa
Kama umelewa

Kushoto kama umelewa
Kama umelewa
Kulia kama umelewa
Kama umelewa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Umelewa (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BADDEST 47

Tanzania

Baddest 47 is an artist from Tanzania signed under Rooftop Entertainment. ...

YOU MAY ALSO LIKE