Home Search Countries Albums

Singo

BADDEST 47 Feat. SARAPHINA

Singo Lyrics


The melody queen
Gachi beats

Unaenjoy, unaenjoy
Ukiwa single jamani unaenjoy
Unaenjoy, unaenjoy
Ukiwa single kwa kweli unaenjoy
Unaenjoy, unaenjoy
Unaenjoy, unaenjoy

Mmmh tuacheni utani eeh
Aah kuwa singo ni amani
Hata nichelewe kurudi haikatai
Na tukiwa na party popote na kwenda
Kutoa na lock sa penzi haifai
Mwenzenu niko singo jamani napenda
Aah aah....

Unaenjoy, unaenjoy
Ukiwa single jamani unaenjoy
Unaenjoy, unaenjoy
Ukiwa single kwa kweli unaenjoy
Unaenjoy, unaenjoy
Unaenjoy, unaenjoy

Ukiwa single huwezi pata BP (Unaenjoy)
Hakuna baby naomba niweke DP (Unaenjoy)
Utaforget mambo ya bluetick (Unaenjoy)
Huna mchepuko wala mainchick (Unaenjoy)

Staki stori za mapenzi nikonde
Bora tu nijipende mimi mwenyewe niwe kibonge
Yasije yakanikuta ya Mmakonde
Ukachora na tattoo alafu unanyanganywa tonge

Unaenjoy, unaenjoy
Ukiwa single jamani unaenjoy
Unaenjoy, unaenjoy
Ukiwa single kwa kweli unaenjoy
Unaenjoy, unaenjoy
Unaenjoy, unaenjoy

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Singo (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BADDEST 47

Tanzania

Baddest 47 is an artist from Tanzania signed under Rooftop Entertainment. ...

YOU MAY ALSO LIKE