You Are My Mountain Lyrics

Halleluyah, glory glory to God
Everybody listen to me
Glory of God is coming
The presence of God is here
Hallelujah, Glory of God
Mountain, You're the mountain
Jesus you are my mountain
You are my friend
Mountain, You're the mountain
Jesus you are my mountain
You are my friend
Mlima wangu, wewe ni mlima wangu
Yesu ni mlima wangu, nguvu yangu uuh
Mlima wangu, wewe ni mlima wangu
Yesu ni mlima wangu, nguvu yangu uuh
Mungu katika mlima wako
Wewe unapatikana
Tena unajibu kwa moto ah Mungu wangu
Nikikuita unaitika, nikiomba unasikia
Huzimi wala huchoki, Mungu wangu
Wewe ni mfalme, Ebenezer mfalme
Wastahili mfalme mwamba wangu
Mountain, You're the mountain
Jesus you are my mountain
You are my friend
Mlima wangu, wewe ni mlima wangu
Yesu ni mlima wangu, nguvu yangu uuh
Mlima wangu, wewe ni mlima wangu
Yesu ni mlima wangu, nguvu yangu uuh
Amen, mwamba we mwamba wee
Amen, hakika wewe ni mlima wangu
Amen, mlima mtakatifu
Amen, umedhihirika katika dhabihu
Amen, na umedhibitika kwa moto
Amen, kilio chako ni moto
Amen, Amen, Amen, Amen
Amen, Amen, Amen, Amen
Amen, Amen, Amen, Amen
Amen, Amen, Amen, Amen
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : You Are My Mountain (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE