Home Search Countries Albums

Swagger

B2K MNYAMA

Swagger Lyrics


Kwanza mama stop mi naitwa star beat boy
Na Matambako ndio kwetu kila siku kunapanda bei
Na burudani ndio zetu sio za kubangaiza
Kwanza niazime hiyo cap mle ndani nitakuonyesha

Swagger, mwanangu Side waonyeshe
Swagger swagger wewe swagger
Mwanangu Fongo wakomeshe
Swagger swagger wewe swagger

Ya Tz waonyeshe
Swagger swagger wewe swagger
Mwanangu Nalo wakomeshe
Swagger swagger wewe swagger

Tuwachezeshe bolingo waliokaa
Mpaka wafurahi
Waliotinga suti na moka kipapaa
Motema na ngai

Kwa meza michupa naimezaga
Watu wanafurahi

Uliwakuna wengi 
Nikuone mezani unanishoboke
Jichanganye na wengi
Ndo rhumba kule inakonogea

Mwanangu Side waonyeshe
Swagger swagger wewe swagger
Mwanangu Fongo wakomeshe
Swagger swagger wewe swagger

Ya Tz waonyeshe
Swagger swagger wewe swagger
Mwanangu Nalo wakomeshe
Swagger swagger wewe swagger

We hapo hapo inanoga
Mwenzio nishakolea eeh
Hio miuno koroga
Waonyeshe ulichopewa wee

Huko sugua gaga
Kule nyuma unataga
Huko sugua gaga
Huko nyuma unataga

Uliwakuna wengi 
Nikuone mezani unanishoboke
Jichanganye na wengi
Ndo rhumba kule inakonogea

Mwanangu Side waonyeshe
Swagger swagger wewe swagger
Mwanangu Fongo wakomeshe
Swagger swagger wewe swagger

Ya Tz waonyeshe
Swagger swagger wewe swagger
Mwanangu Nalo wakomeshe
Swagger swagger wewe swagger

Usipate moto!

Bosi la msee waonyeshe
Swagger swagger wewe swagger
Oya Star Beat wakomeshe
Swagger swagger wewe swagger

Star Beat  tuwaonyeshe
Swagger swagger wewe swagger
Kwa pamoja wakomeshe
Swagger swagger wewe swagger

Sema Star Beat tuwaonyeshe
Swagger swagger wewe swagger
Star Beat waonyeshe
Swagger swagger wewe swagger

(Star Beat Records)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Swagger (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

B2K MNYAMA

Tanzania

B2k Mnyama is a Tanzania artist. He is the C.E.O  of Starbeat Records. ...

YOU MAY ALSO LIKE