Anatengeneza Lyrics
(Anatengeneza)
Anatengeneza ushuhuda wako
Umshinde adui kwa ushuhuda wako
Anatengeneza ushuhuda wako
Umshinde adui kwa ushuhuda wako
Hilo ni neno lake Bwana
Hilo ni neno, hilo ni neno
Nguvu yako inajengwa
Katika hayo unayopitia
Hio bonde la mauti, halitakumeza
Maana kwa imani umehasabiwa
Nguvu yako inajengwa
Katika hayo unayopitia
Hio bonde la mauti, halitakumeza
Maana kwa imani umehasabiwa
Anatengeneza ushuhuda wako
Umshinde adui kwa ushuhuda wako
Anatengeneza ushuhuda wako
Umshinde adui kwa ushuhuda wako
Hilo ni neno lake Bwana
Hilo ni neno, hilo ni neno
Anatengeneza baba
Anatengeneza bado, anatengeneza bado
Ushindi uko ndani yako, ushindi uko ndani yako
Anatengeneza bado, anatengeneza bado
Ushindi uko ndani yako, ushindi uko ndani yako
Anatengeneza bado, anatengeneza bado
Ushindi uko ndani yako, ushindi uko ndani yako
Anatengeneza bado, anatengeneza bado
Ushindi uko ndani yako, ushindi uko ndani yako
Iyelele, iyelele, uuuh
Iyelele, iyelele, uuuh
Iyelele, iyelele, uuuh
Iyelele, iyelele, uuuh
Usijali, kuna nchi ya maziwa na asali
Bwana amekuandalia
Usikubali kukata tamaa
Usikubali kurudi nyuma
Bwana amesema, bwana ameona
Unyonge wako wewe
Bwana amesema, bwana ameona
Mateso yako wewe
Bwana amesema, bwana ameona
Unyonge wako wewe
Bwana amesema, bwana ameona
Atakubariki
Iyelele, iyelele, uuuh
Iyelele, iyelele, uuuh
Iyelele, iyelele, uuuh
Iyelele, iyelele, uuuh
Iyelele, iyelele, uuuh
Iyelele, iyelele, uuuh
Iyelele, iyelele, uuuh
Iyelele, iyelele, uuuh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Anatengeneza (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE