Home Search Countries Albums

Sumu

ALIKIBA Feat. MARIOO

Sumu Lyrics


Yeah
Aloooohh
Ababaah
Sounds by Abbah

Mke wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali
Mume wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali eeh eeh
Eh aah aaaah kuna jela
Noma sana
Aah aaaah kuna jela

Sawa unakula bata
Kula bata ila deni langu hunilipi aah uhmm
We unakula raha
Ni nina njaa kale kadeni kangu hunilipi aaah
Aaah aaah kuna kesho
Ujue unaniburuga yelelee
We si unanivuruga sawa
Ujue unaniconfuse yelelee
Acha tu nile bati sawa
Sisi sio milima tutakufana
Sisi ni people tutaonana
Si sio visima tutasomana
Tukiwa kama people kitaumana umana

Mke wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali
Mume wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali eeh eeh
Eh aah aaaah kuna jela
Noma sana
Aah aaaah kuna jela

Mi ninachojua pesa karatasi eeh
Mi ninachojua
Mi ninachojua pesa karatasi eeh
Mi  ninachojua pesa karatasi
Mi ninachojua pesa karatasi eeh
Ni maua

Wale walosema hutiboi leo wako wapi
Walosema hutoboi leo wako wapi
Eeh wapite kule, wapite kule kule kule
Wapite kule
Wale walosema hutiboi leo wako wapi
Walosema hutoboi leo wako wapi
Eeh wapite kule, wapite kule kule kule
Wapite kule

Sisi sio milima tutakufana
Sisi ni people tutaonana
Si sio visima tutasomana
Tukiwa kama people kitaumana umana

Mke wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali
Mume wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali eeh eeh
Eh aah aaaah kuna jela
Noma sana
Aah aaaah kuna jela

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Sumu (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ALIKIBA

Tanzania

Ali Saleh Kiba, better known by his stage name AliKiba, is a Tanzanian recording artist, singer-song ...

YOU MAY ALSO LIKE