Corona Lyrics
Bebe
Dunia inateketekea
Yarabu tumekosa Nini
Ama mwisho umeshanogea
Mara si kitendawili Corona
Ishaingia ata natujiadhari kwa mikono
Kusalimia
Tunakugombea na mwendo si Kasi
Tuepushe na mapara
Wengine uwezo hatuna
Bila kutoka hatuezi kula
Corona yaani Kama disi la ukweli
Corona ule mwalimu wake Angalia
Magufuli Tanzania anaihurumia
Corona
Na dalili zake mafua kwa mpigo
Kukohoa kikohozi
Na mengine aloo
Yarabi tuombee ipite yawe mapito
Corona tuepushe na mapara
Wengine uwezo hatuna
Bila kutoka hatuezi kula
Corona yaani Kama disi la ukweli
Corona ule mwalimu wake Angalia
Magufuli Tanzania anaihurumia
Corona
Bebe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Corona
Copyright : ©2020
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE