Home Search Countries Albums

Naanzaje

RONZE Feat. LODY MUSIC

Naanzaje Lyrics


Palalili lalala hohoho hohohooo
Majnun oooh leylaaa aaaahh

Mwanzo niliteswa na mapenzi
Umekuja umefuta machozi
Ukanifanya nipende kuchat
Kwa message zako zenye tenzi
Hili kilinge kimeshaota mizizi
Kambale kanaswa na gugumaji
Asa kwa nini tusiweke wazi
Na umesema nipogo tu mimi
Penzi letu msururu wa siafu
Tumezoea kufatana
Haina haja hata ya lufufu
Wenyewe tunaelewana
Wewe mdarasini mi karafuu
Nikikuacha nitapata laana
Aah si unajua mi kwangu pakavu
Visije vikaumana
Taharikul bafalal hadalal bawabuu
Umenishika hadi nakuimbia kiarabu
Hata nikikushika nahisi Napata swawabu
Wakisema niandike sifa nitajaza kitabu
Maana naanzaje kukuacha
Ooh baby iiih
Naaanzaje kukuacha aaah
Ooh baby Naaanzaje kukuacha
Ooh baby, my baby
Naaanzaje kukuacha
Aaaah my baby
Naaanzaje kukuacha mmmmmhh
(Lody music on this one)

Nikuite jina gani
Majina mengi yameshawahiwa ooh my love
Habibi kipenzi nyongo mkalia ini
Kwakeli natamani
Nyumbani kwenu nikabalikiwa ooh my love
Waulize wazazi wanasubiri nini
Maana mbele ya jina lako kuna jina langu
Sasa naanzaje kuchiti
Mganga wako ana dawa zangu
Sasa naanzaje
Vilevile maaa kwenye moyo wako
Kuna siri zangu
Ukiniacha nitaumbuka
Mwilini mwako kuna mbegu zangu
Nieleze naanzaje
Mmh natabili ukiniacha nitapata adhabu
Kwanini my love
Nimekuzoea labda wewe ndo sababu
Kwako napata vingi umenishikisha adabu
Kwanini my love
Nieleze maaa kukuacha mimi naanzaje
Maana naanzaje kukuacha
Huohuuooo aaa naanzaje
Naanzaje kukuachaaa
Kukuacha kukuacha mimi naanzaje
Naanzaje kukuacha
Aaaah aaaah aaaah aaaah mmmh
Naanzaje kukuacha
Aaah honey kukuacha mimi naanzaje
Naanzaje kukuacha
Siweziii siweziiii
Aaammmm aaah kukuacha
Lody naanzajeeeee
Aah lody music on this one
Ooh baby, my baby

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Naanzaje (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

RONZE

Tanzania

Ronze is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE