No Time Lyrics

Ooh ma baby calendar
Hata siku zizidi nakupenda
Na wakidhani nakwenda
Mimi ndio narudi mwanakwenda
Na hiki ni cha kwetu tugawane
Eti chumba kidogo tubanane
Maneno ni yanini tupishane
Tushapendana basi tuzikane
Napewa mapenzi na mashamsham
Mwambie uyo X mambo bambam
Aah kumbe mahaba matamtam
Haki ya mungu kutesa kwa zamzam
Ma baby, ooh baby
(…)
We baby, ma baby mmhh
No time, no time, baby no time
Hakuna muda wa kupoteza baby ooh
No time, no time, baby no time
Hakuna muda wa kupoteza honey ooh
Ooh baby wavu
Mwenzio unanivua kama samaki mmh
Naona wivu uuh
Aku sitaki mmmh
Mwenzio umenisweka mateka ndomo mate
Acha unikamate
Yani umeishusha presha
Ila sio kama me unanitesa
Ni ile kila siku kukesha
Na muda unashindwa kutoshaa baby
Ma baby, ooh baby
(…)
We baby, ma baby mmhh
No time, no time, baby no time
Hakuna muda wa kupoteza baby ooh
No time, no time, baby no time
Hakuna muda wa kupoteza honey ooh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : No Time (Single)
Copyright : (C) Slide Digital
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE