Utaniua Lyrics

Nikikuona nanyamaza hata kama nilikua nalia
Macho unayapumbaza raha zinazidi nalia
Upepo utoke magharibi yani uvume pwani ama bara
Hizi raha zanizidi mini huba lako lanitawala
Nataka nitangaze kwa radio na nataka wesikia na wenzio
Penzi lako lanipeleka mbio na baby wewe kichwa me sikio
Nataka nitangaze kwa radio na nataka wasikie na wenzio
Penzi lako lanipeleka mbio na baby wewe kichwa me sikio
Ukizidisha utaniua
Walahy utaniua
Ukizidisha utaniua
Walahy utaniua
Habibty leo pombe na muziki maisha yetu sio ya kiki
Wasitingishe kibiriti we ni show unavyoshow
Penzi letu ni mchongo (mmmmhh)
Usiwape hata uso wale kule wape mugongo (mmh mmmhh)
Nataka nitangaze kwa radio, na nataka wasikie na wenzio
Penzi lako lanipeleka mbio na baby wewe kichwa me sikio
Nataka nitangaze kwa radio, na nataka wasikie na wenzio
Penzi lako lanipeleka mbio na baby wewe kichwa me sikio
Ukizidisha utaniua
Walahy utaniua
Ukizidisha utaniua
Walahy utaniua
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Romantic (EP)
Copyright : (C) Slide Digital
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE