Watu Feki Lyrics
Ooh ooh
Siku mbili sijalala sijakula
Ninastress
Nyumba imegeuka chumba cha dharula
Emergency
Sioni marafiki ama mashosti
Au mnasubiri nife ndo mniposti
Bora nitafute pesa
Ndugu wa kweli mafanikio
Watu feki
Sitaki marafiki, siwataki ng’o
Sitaki marafiki
Sitaki watu feki
Wambie walio nicheat
Wakaniumiza roho
Sitaki marafiki
Sitaki watu feki
Sijui ninyamaze ama niseme wanicheke
Ama nijikaze, nilie ninyamaze, nijiliwaze
La la la, la la la
La la la, la la la
La la la, la la la
Watu fake wasioridhika nilishazika nikasafirisha
Watu feki, watu feki
Leo wanakupandisha
Kesho ndo watakushusha
Watu feki, (watu feki)
Utakufa na njaa
Msibani watapika pilau
Ukishika chapaa
Utacheka nawanao kudharau
Bora wali nyama kuliko walimwengu
Wakikosa sufuria watakupiga majungu
Ukweli unauma
Ukweli ni mchungu
Sitaki marafiki, siwataki ng’o
Sitaki marafiki
Sitaki watu feki
Wambie walio nicheat
Wakaniumiza roho
Sitaki marafiki
Sitaki watu feki
Sijui ninyamaze ama niseme wanicheke
Ama nijikaze, nilie ninyamaze, nijiliwaze
La la la, la la la
La la la, la la la
La la la, la la la
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Watu Feki (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE