Home Search Countries Albums

Wataaibika Lyrics

Wale walio kusema kwa ubaya (wote wataaibika)
Walio panga mipango mibaya juu yako (wote wataaibika)
Walio kaa vikao vya kukushusha chini (wote wataaibika)
Pale mungu atakapo kuinua juu sana (wote wataaibika)

Mwanadam unaweza ukaishi naye ukala naye kumbe ndiye adui mkubwa
Mwanadam unaweza ukaishi naye ukala naye kumbe ndiye adui mkubwa
Atakuchekea usoni kuficha yaliyo moyon kumbe
Umbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo
Atakuchekea usoni kuficha yaliyo moyon kumbe
Umbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo
Atapanga mipango wewe ushuke yeye apande
Atatengeneza mambo ili uonekane mbaya mbele za watu
Mungu atageuza kibao
Mungu atageuza kibao
Kaburi wanalo chimba watatumbukia wenyewe
Kaburi wanalo chimba watatumbukia wenyewe
Kuna siku inakuja
Kuna siku inakuja

Wale walio kusema kwa ubaya (wote wataaibika)
Walio panga mipango mibaya juu yako (wote wataaibika)
Walio kaa vikao vya kukushusha chini (wote wataaibika)
Pale mungu atakapo kuinua juu sana (wote wataaibika)
Walio sema hutofanikiwa wewe (wote wataaibika)
Walio kaa vikao usifunge ndoa yako (wote wataaibika)
Siku ya kuvikwa pete wewe (wote wataaibika)
Walio kuwa kinyume na wewe (wote wataaibika)

Usione ninalia machozi ya furaha haya
Amenihurumia yasitokee mabaya
Amefanya njia nipite salama
Walichotarajia kisitokee daima
Amefanya njia nipite salama
Walichotarajia kisitokee daima
Asingelikua bwana sijui ningekua wap
Si walipanga njama sjui ningekua wap
Sinilisingiziwa kwa ubaya jamani rafik zangi nao wakaamini
Leongo lao niwekwe ndani Yesu akasimama wakaaibika haoo ooo

(wote wataaibika)
Walio panga usiinuliwe (wote wataaibika)
Walio panga usifanikiwe (wote wataaibika)
Yesu atakuinua juuu (wote wataaibika)
Wale walio kusema kwa ubaya (wote wataaibika)
Walio panga mipango mibaya juu yako (wote wataaibika)
Walio panga usifanikiwe (wote wataaibika)
Pale mungu atakapo kuinua juu sana (wote wataaibika)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2022

Album : Wataaibika (Single)

Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ANISET BUTATI

Tanzania

Aniset Butati is a gospel artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE