Home Search Countries Albums

Sepa

APPY

Sepa Lyrics


Penzi gani la kushare
Hadhrani la teketea
Ila we you don't care
Ila we you don't care
Yani nakosa Amani
Nyumbani hatuelewani
Unadate nakina nanii
Na unajionyesha

Sina habari na we
Ni bora niseme
Eeh bhana mi sielewi
Eeh bhana mi sielewi
Sina habari na we
Ni bora niseme
Eeh bhana mi sielewi
Eeh bhana mi sielewi

Sepa sepa sepa
Moyo umeutesa sana inatosha
Sepa sepa sepa sepa sepa
Wouh
Sepa sepa sepa
Moyo umeutesa sana inatosha
Sepa sepa sepa sepa sepa
Wouh yeah

Zunguka magharibi kusini
Kote hutopata kama mi
Amini kwamba
Amini kwamba
Uligeuka mkoloni
Kitanzi shingoni
Ya allah b
Ya allah b
Hivyo hivyo nami nitapata
Penzi sio naleta utata
Mi mwenzio nimechapa lapa
Oh no

Sina habari na we
Ni bora niseme
Eeh bhana mi sielewi
Eeh bhana mi sielewi
Sina habari na we
Ni bora niseme
Eeh bhana mi sielewi
Eeh bhana mi sielewi

Sepa sepa sepa
Moyo umeutesa sana inatosha
Sepa sepa sepa sepa sepa
Wouh
Sepa sepa sepa
Moyo umeutesa sana inatosha
Sepa sepa sepa sepa sepa
Wouh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Sepa (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

APPY

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE