Nobody Remix Lyrics
Yeah, she love me when I put it down
She say she don't want nobody, nobody
Alright anavyojisikia raha
Oh she say yes go daddy, go daddy
Kwanza mtoto ana ka-cute face wow
Na barua ya uchumba nitaipeleka kwao
Kwanza sitaki awe hata kwenye mitandao
Mtoto hana kisa au uslay huo ndo mama lao
Alafu toto ana mishape shape bana (Cuty)
Hilo guu sasa hio minyama nyama (Cuty)
Na kamwili kangu ila ndo tunaendana (Cuty)
Kuwa naye ndo mnaosubiri tutaachana
Huyu mtoto mi nampenda mpaka basi
Simu zake sasa "baby when are you coming back?"
Hapo inabidi niende kibahati
Maana mtoto anataka mikasi
Nobody yoyoyoyo
Nobody yoyoyo oooh
Nobody yoyoyoyo
Baby nobody
Nobody yoyoyoyo
Nobody yoyoyo oooh
Nobody yoyoyoyo
Baby nobody
[Fridah Amani]
Mi nataka nikupe mapenzi
The first thing he said to me
I look in his eyes hell yeah I'm in
He a king treat me lika a queen
Peleka peleka ni moto anaweka
Na kwake nimefika ain't touching nobody
Now he is having every piece of my body
Ananiweka on his corner ananibeba ananibeba
Ni fresh wanatuona ananipenda nampenda pia
He takes care of me
Tulip ananiwashia gangster chic
Gangster love nampatia
Sa na questions hakuna, moyoni ananikuna
Nobody
[Mabeste]
Nobody no worry, hakuna mambo za uchawi no chale
We ung'are njoo ulale, njoo kwa mchapa kazi nikumarry
We no worry nilichapa sorry, niko matawi za juu nimebuy ngori
Pasi nikipasiwa si nafunga magoli
Tunalea ubori simamtori
Mi nakula asilia natii pori niko active
Yaani kama wake-up calling
Kuna fare nanyapilia sukari yaani
Wivu ndo unaleta mandugu tukwamiane
Tusigongeane, tuombeane
Tuombee mpaka likabua aachane
Tutembee wakitufora wasimame
Hebu twendee tuache huku nyuma wagombane
No, nobody
Nobody yoyoyoyo (Nobody)
Nobody yoyoyo oooh (Eiyee yeee)
Nobody yoyoyoyo
Baby nobody, baby nobody
Nobody yoyoyoyo (Mmmh)
Nobody yoyoyo oooh
Baby nobody
[Young Lunya]
Nikiambiwa nihadithie story yangu ya mapenzin itaanza na wewe
Kwa maana kama mwingine hakuna
Namwomba Mungu akutunze kwa ajili yangu daima milele
Za kwako zote mali ninazochuma sio chuna
Kwa kifupi unanitosha, siwazi kuhusu ex wangu kanitoka
Kutwa ananiombea kama mwamposa
Na ndio sababu ya kukung'ang'ania unanikosha
Kama ni kuzama tumezama wote kina cha mita tisini
Ikiwezekana sana nife mimi
Mahaba I give you siku hizi ni machache
Sijui hata umenipa nini
Na mambo yetu ni ya chini kwa chini
Nikikauliza unahisi tunaeza kuachana utaskia "No daddy"
Nitake nini zaidi ya your hot body
Wanga wakosi watatuzushia ila we tambua nakupenda
Na hakuna atakaye kupenda kuliko mimi
Ndio maana Nobody
Nobody yoyoyoyo (Nobody)
Nobody yoyoyo oooh (Eiyee yeee)
Nobody yoyoyoyo
Baby nobody, baby nobody
Nobody yoyoyoyo (Mmmh)
Nobody yoyoyo oooh
Baby nobody
Nobody yoyoyoyo (Eiyee eiyeee)
Baby nobody (Oooouwooo)
Nobody interfere my love (Nobody)
Nobody can love you like I do (Bebe beibe)
Nobody interfere my love (Aaaaah aaaaah)
Nobody
Anjella
Konde Music Worldwide
Oh nah nah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nobody Remix (Single)
Copyright : (c) 2021 Konde Music Worldwide
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ANJELLA
Tanzania
Anjella real name Angelina Samson George (born 03 October 2000) is a talented singer/songwriter from ...
YOU MAY ALSO LIKE