Samia Suluhu Lyrics

Tanzania ya mama Samia, ina ng'ara ng'ara
(Tanzania ya mama Samia, ina ng'ara ng'ara)
Tanzania ya Suluhu Hassan mama, yameremeta
(Tanzania ya mama Samia, ina ng'ara ng'ara)
Ah mumemuona mama, mama e mama
Oh Rais wetu jamaa, mama e mama
Amri jeshi mkuu, mama e mama
Anayependwa na wengi, mama e mama
Ameimarisha urafiki, kimataifa
Wawekezaji sa nchini kwetu wanafika
Demokrasia siasa ya kuridhisha
Biashara ona zinauzika
Aise nampenda Samia
Uonevu hataki Samia
Mikopo elimu kaweka safi, Samia
Mashule kwa zahanati, Samia
Kapinga zile kodi zote ziso halali
Vina uhuru sasa, vyombo vya habari
Zote kesi za uonevu, kafutilia mbali
Kapunguza faini za boda boda sasa mambo shwari
Tanzania ya mama Samia, ina ng'ara ng'ara
(Tanzania ya mama Samia, ina ng'ara ng'ara)
Tanzania ya Suluhu Hassan mama, yameremeta
(Tanzania ya mama Samia, ina ng'ara ng'ara)
Ah mumemuona mama, mama e mama
Oh Rais wetu jamaa, mama e mama
Jemedari wetu, mama e mama
Mtetezi wa wanyonge, mama e mama
Iyena iyena, Iyena iyena, Iyena iyena
Rais samia number one
Iyena iyena, Iyena iyena, Iyena iyena
Rais samia number one
Ooo Iyena iyena, Iyena iyena, Iyena iyena
Suluhu Hassan number one
Iyena iyena, oh Samia mama
Iyena iyena, Super woman
Iyena iyena, Rais Samia nambari one
Ah mumemuona mama, mama e mama
Oh Rais wetu jamaa, mama e mama
Eh mwanamke wa shoka, mama e mama
Oh mchapa kazi, mama e mama
(Ayolizer)
Amechukua, ameweka, waah
Eh Vituo vya afya
Amechukua, ameweka, waah
Fly over ndege mpya
Amechukua, ameweka, waah
Barabara vijijini
Amechukua, ameweka, waah
Shangwe na vigeregere na vigeregere na vigeregere
(Shangwe na vigeregere na vigeregere na vigeregere)
Tanzania na isonge mbele, na isonge mbele
(Tanzania na isonge mbele, na isonge mbele)
Shangwe na vigeregere na vigeregere na vigeregere
(Shangwe na vigeregere na vigeregere na vigeregere)
Tanzania na isonge mbele, na isonge mbele
(Tanzania na isonge mbele, na isonge mbele)
Na kazi, iendele, kazi iendelee
Twende pamoja, na kazi iendelee
Pamoja, na kazi iendelee
Na kazi iendelee
Madaktari, na kazi iendelee
Wamachinga, na kazi iendelee
Na boda boda, na kazi iendelee
Walimu yo
(Platnumz)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Samia Suluhu (Single)
Copyright : (c) 2021 WCB/Warner Music
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
DIAMOND PLATNUMZ
Tanzania
Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...
YOU MAY ALSO LIKE