Ndom is Good Lyrics
All the time God is good
Sunday kwa church
God is good all the time
And all the time God is good
Wanapenda za ma-verse
Faster faster sunday kwa church
Ndom is good all the time
And all the time ndom is good
Wanapendanga mashash
Rasta rasta kam na kishash
Hapa Kenya tunakuwanga mita chwani
Mita 40 ni mashabiki wa chwadi
Masaa mbaya na tuko club ndani
Addi Chokoch rada gani?
Wanapendanga marashi
Si wasoro ni warazi
Mtaa hatubishani mtaa tumejihami
Manduru magizani nawateka kitsunami
Msee sina kazi, msee sina ganji
Msee kazi mimi niko nayo ni kipaji
Na mamanzi niko nao ni wanati
Wana mashavu zimefura kama mandazi
God is good all the time
And all the time God is good
Wanapenda za ma-verse
Faster faster sunday kwa church
Ndom is good all the time
And all the time ndom is good
Wanapendanga mashash
Rasta rasta kam na kishash
Unapenda pongi na mugithi
Ama mugithi na pongi
Sema pongi na mugithi
Ama mugithi na pongi
Mi hulamba na ulimi
Mi hunyonga na Arimis
We hukuwanga so stingy
So busy ni ka mi ni Wizzy
Mi hukuwanga na ujuzi
Mi hunyonga na chumvi
We hukuwanga so stupid
Mamluki si kwa hii movie
Unapenda pongi na mugithi
Ama mugithi na pongi
Sema pongi na mugithi
Ama mugithi na pongi
God is good all the time
And all the time God is good
Wanapenda za ma-verse
Faster faster sunday kwa church
Ndom is good all the time
And all the time ndom is good
Wanapendanga mashash
Rasta rasta kam na kishash
All the time God is good
Sunday kwa church
All the time
And all the time ndom is good
Wanapendanga mashash
Rasta rasta kam na kishash
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Ndom is Good (Single)
Copyright : (c) 2020 Maarlie Entertainment.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ADDI CHOKOCH
Kenya
ADDI CHOKOCH also known as 'Stevo Chokoch' is a street kid who, in confidence, showed ...
YOU MAY ALSO LIKE