Home Search Countries Albums

Sambusa Lyrics


Sambusa lyrics -  Addi chokoch, Dmore, Exray, Nelly the Goon, Maddox

Hitman ting, hitman ting 
Badman ting, Badman ting
Hitman ting, hitman ting 
Utania aah, man ah badman ting

Namdara kabisa ndo nimtoe joto
Ndani ya nissan na usitie roho
Hadi kwa misa nakatia poko
Ukibakishwa nakupiga koto, ama

Yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa
Ama yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa

Ni mabam kubwa sinambambuka
Ni mabam kubwa sinambambuka
Na ukilia machozi panguza
Na ukilia machozi panguza

(Addi Chokoch rada gani)

Dada kamata sista kata
Tunachuna fudhi kutumia nail cutter
Dada kamata sista kata
Makejani tukiskiza Dj Katta

Tunakamia nyap kijijini
Wakomi wasomi hadi majini
Mashoshe mafiat wako dukani
D king pin toka South B

Kunanyesha damu mabatini
Magaldem wako juu mitini
Maboy dem wako chini
Itakwaka ring, aii ni ma ring ding

Namdara kabisa ndo nimtoe joto
Ndani ya nissan na usitie roho
Hadi kwa misa nakatia poko
Ukibakishwa nakupiga koto, ama

Yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa
Ama yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa

Ni mabam kubwa sinambambuka
Ni mabam kubwa sinambambuka
Na ukilia machozi panguza
Na ukilia machozi panguza

Chura chura anataka tu kupigwa keshwa
Kura kura keeper anadai tu Vanessa
Kura kura anapiga tu bila chaser
Sura sura hana na Johnny amemteka

Nakokota kipongi
Aii ninachota hadi podi
Cheki vile kanasoka ana songi
Aii mi nateka tu hadi Njoki, ai

Nyap nyap eeh, nyap nyap woo
Tandika tandika tandika ki nyap nyap
Nyap nyap eeh, nyap nyap woo
Tandika tandika tandika ki nyap nyap

Nina laa ndani ya loo, ndani ya loo
Laa ndani ya loo, ndani ya loo

Namdara kabisa ndo nimtoe joto
Ndani ya nissan na usitie roho
Hadi kwa misa nakatia poko
Ukibakishwa nakupiga koto, ama

Yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa
Ama yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa

Afande we hapa kuna kurutu
Ayaya na ana kutu 
Hapa ng'wee ah nitakulia mutu
Ndogo ndogo nitakulia mututu

Ngeus wake hapa ye huniita boo
Ka ana nyege sitaki masahibu
Ka ni mis mi si mista Ibu
Ka ana hanjam twende taratibu

Ni mabam kubwa sinambambuka
Ni mabam kubwa sinambambuka
Na ukilia machozi panguza
Na ukilia machozi panguza

Namdara kabisa ndo nimtoe joto
Ndani ya nissan na usitie roho
Hadi kwa misa nakatia poko
Ukibakishwa nakupiga koto, ama

Yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa
Ama yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Sambusa (Single)


Copyright : (c) 2020 Wanati


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ADDI CHOKOCH

Kenya

ADDI CHOKOCH also known as 'Stevo Chokoch'  is a street kid who, in confidence, showed ...

YOU MAY ALSO LIKE