Namba za Mapedi Lyrics
Phonebook namba za mapedi ndo muhimu
FB namba za mapedi ndo muhimu
IG search ya mapedi ndo muhimu
Nafuata fuata pedi ni ka nimekuwa wazimu
Ooh namba za mapedi ndo muhimu
Ooh namba za mapedi ndo muhimu
IG search ya mapedi ndo muhimu
Nafuata fuata pedi ni ka nimekuwa wazimu
Wawawa yipi yoo, yipi yee
Ati Tamina mina wanapimia Mose
Ka ni gengetone mi hudai, mi hubuy
Hizo matisho zimechorwa photocopy ya Kartel
Wacha niendelee kupiga makelele
Na madem hapo mbele wameshuka manywele
Toa kidenge, toa toa kidenge
Kameekana manyege kapatiwe sekete
Baller gallade, girla baller baba de
Dem give it to dem gyal give it to dem
Niko na morale basi leo nikubeng
Kwenye baseline pewa 10 over 10
Panganga zizikwe, mashada ziitishwe
Venye tunatisha ni madada tuwashike
Tuburn turirime dunda tutingike
Girl si akatike hadi mabum zimwagike
Phonebook namba za mapedi ndo muhimu
FB namba za mapedi ndo muhimu
IG search ya mapedi ndo muhimu
Nafuata fuata pedi ni ka nimekuwa wazimu
Ooh namba za mapedi ndo muhimu
Ooh namba za mapedi ndo muhimu
IG search ya mapedi ndo muhimu
Nafuata fuata pedi ni ka nimekuwa wazimu
[JustImagineAfrica]
Ka unaswali mi msee huwa na jibu
Napiga mashada kufukuza wazimu
Nafukuza watoi utadhani mi mwalimu
Manamba za pedi nimejaza tu kwa simu
Nakata makeki kwa pori niko na kisu
Niko na issue na watu wako na issue
Mimi nakuwanga na majini
Sipakangi Marini mafuta ni Arimis
You get it
Addi chokoch rada gani?
Nimekam na wafuasi wa bangi
Nimekam jo tuseti kimali
Mahali masanse hawawezi tufind
Washa kingwai wacha kesi baadae
Tukose baze tutaseti kwa ndae
Nikose place nitamseti kwa ndae
Nipambane naye hadi ngware walai
Phonebook namba za mapedi ndo muhimu
FB namba za mapedi ndo muhimu
IG search ya mapedi ndo muhimu
Nafuata fuata pedi ni ka nimekuwa wazimu
Ooh namba za mapedi ndo muhimu
Ooh namba za mapedi ndo muhimu
IG search ya mapedi ndo muhimu
Nafuata fuata pedi ni ka nimekuwa wazimu
[Masagara]
Maryjane marijuana kuziwasha
Blunder blunder jana nilidunda
Dunda zilikuwa zimerunda
Odi kidogo dancestyle ya rhumba
Sio siri mi hupenda shada
Na sio noma utapata nimewasha
Miti ni dawa ikinyc na kijaba
Sema noma nikiseti kadawa
Sigara siogopi nina dawa ya cancer
Nadai zinirunde hadi ibaki nimeitana
Kwanza zimeraru ni drama visanga
Fuaka kwa mafala ganja ni ya wajanja
Phonebook namba za mapedi ndo muhimu
FB namba za mapedi ndo muhimu
IG search ya mapedi ndo muhimu
Nafuata fuata pedi ni ka nimekuwa wazimu
Ooh namba za mapedi ndo muhimu
Ooh namba za mapedi ndo muhimu
IG search ya mapedi ndo muhimu
Nafuata fuata pedi ni ka nimekuwa wazimu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Namba za Mapedi (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ADDI CHOKOCH
Kenya
ADDI CHOKOCH also known as 'Stevo Chokoch' is a street kid who, in confidence, showed ...
YOU MAY ALSO LIKE